Recent News and Updates

Mkurugenzi wa Bodi ya Tumbaku akizungumza na kituo Yunan Television ya China

Mkurugenzi wa Bodi ya Tumbaku akizungumza na kituo Yunan Television ya China ambapo ameelezea madhumuni ya ziara ya wadau wa Tumbaku kutoka Tanzania ni kujifunza aina ya Tumbaku inayotakiwa katika soko la China, teknolojia za kisasa… Read More

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ ziara ya kikazi ya siku 5

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma ameanza ziara ya kikazi ya siku (5) nchini China.Katika ziara hiyo Mhe Pembe atakutana na viongozi waandamizi wa taasisi za Elimu ya Juu nchini China kwa madhumuni ya… Read More

MAONYESHO YA 17 YA UTALII (SHANGHAI WORLD TRAVEL FAIR)

Maonesho ya Kimataifa ya Utalii (Shanghai World Travel Fair) yatafanyika tarehe 23-26 April 2020 jijini Shanghai.Ubalozi unapenda kuwajulisha wadau wa utalii nchini watakaopenda kushiriki wawasiliane na Afisa Utalii Bi Bessie Quan… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in China

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in China