News and Events Change View → Listing

Mkurugenzi wa Bodi ya Tumbaku akizungumza na kituo Yunan Television ya China

Mkurugenzi wa Bodi ya Tumbaku akizungumza na kituo Yunan Television ya China ambapo ameelezea madhumuni ya ziara ya wadau wa Tumbaku kutoka Tanzania ni kujifunza aina ya Tumbaku inayotakiwa katika soko la China,…

Read More

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ ziara ya kikazi ya siku 5

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma ameanza ziara ya kikazi ya siku (5) nchini China.Katika ziara hiyo Mhe Pembe atakutana na viongozi waandamizi wa taasisi za Elimu ya Juu nchini China…

Read More

MAONYESHO YA 17 YA UTALII (SHANGHAI WORLD TRAVEL FAIR)

Maonesho ya Kimataifa ya Utalii (Shanghai World Travel Fair) yatafanyika tarehe 23-26 April 2020 jijini Shanghai.Ubalozi unapenda kuwajulisha wadau wa utalii nchini watakaopenda kushiriki wawasiliane na Afisa Utalii…

Read More

Fursa za ufadhili wa Masomo zinazotolewa na Serikali ya China kwa 2020/2021

Mchakato wa kuomba Fursa za Ufadhili wa Masomo (Scholarship) zinazotolewa na Serikali ya China katika Mwaka wa Masomo 2020/2021 umeanza. Wenye nia ya kuomba fursa hizo wanashauriwa kutembelea tovuti ya China Scholarship…

Read More

Mhe.Balozi Mbelwa Kairuki akutana na uongozi wa Kampuni ya utalii ya GTIT

Kampuni ya Utalii ya GTIT ya China kuanza kupeleka makundi ya watalii nchini Tanzania mwezi Aprili 2020. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Serikali ya Jiji la Beijing imekubaliana na Ubalozi kufanya kampeni za pamoja…

Read More

Huawei ICT competition award 2019

On December 13th, H.E. Wang Ke, Chinese Ambassador and Hon. Innocent Bashungwa, Minister for Industry and Trade jointly handed over the awards to winners of Huawei ICT Competition 2019-2020 Tanzania, who are flying…

Read More