News and Events Change View → Listing

Balozi Kairuki, Azungumza Mkutano Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China

MKUTANO wa  Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China unatarajia kuanza kufanyika Beijing nchini China. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari leo na Remidius Emmanuel kutoka Beijing,China amesema …

Read More

Tanzania na China Zashirikiana Kukuza Soko la Utalii

Kutokana na uchache wa  watalii kutoka China kuja Tanzania, sasa Tanzania imeamua kushirikiana na China kwa lengo la kuboresha soko China sambamba na kuangalia ni maeneo gani wanaweza kushirikiana ili kuweza…

Read More

Matukio ya Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje Nchini China

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwa na ujumbe wake aliongozana nao katika ziara ya kikazi nchini China.

Read More

Dkt. Mahinga Ahutubia Chuo Kikuu cha Mambo ya Nje Cha China

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augastine Mahiga akihutubia wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mambo ya Nje cha China. Dkt. Mahiga alieleza ushirikiano wa Tanzania na China ulipoanza hadi…

Read More

Katibu Mkuu ashiriki Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Prof.Adolf Mkenda ashiriki katika  Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na China, Mkutano huo ulifanyia katika Ukanda Maalum…

Read More

Watanzania Waishio China Watakiwa Kuchangia Juhudi za Kukuza Uchumi wa Taifa la Tanzania

Balozi wa Tanzania  nchini China  Mhe Mbelwa Kairuki amewataka Watanzania wanaosoma katika Taifa hilo  kutumia fursa hiyo kuunga mkono juhudi za Tanzania kuelekea Uchumi wa kati ifikapo  mwaka…

Read More

TADB na CDA ya China Wajadiliana na Mfuko wa Maendeleo ya Afrika na China

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imefanya mazungumzo na Taasisi mbili muhimu za kifedha na kiuchumi nchini china kwa ajili ya upatokanaji wa fedha za uwekezaji mkubwa kwenye miundo mbinu na viwanda nchini…

Read More

Exim Kuimarisha Ushirikiano na China kwa Ajili ya Wafanyabiashara wa Tanzania

Ujumbe wa kiwango cha juu kutoka EXIM Bank Tanzania wametembelea China wakijaribu kuunda ushirikiano na taasisi za kifedha muhimu za nchi hiyo kwa lengo la kuwezesha biashara kwa urahisi kati ya China na Afrika,…

Read More