Mchakato wa kuomba Fursa za Ufadhili wa Masomo (Scholarship) zinazotolewa na Serikali ya China katika Mwaka wa Masomo 2020/2021 umeanza. Wenye nia ya kuomba fursa hizo wanashauriwa kutembelea tovuti ya China Scholarship Council

http://www.csc.edu.cn/studyinchina   au  http://www.campuschina.org