Maonesho ya Kimataifa ya Utalii (Shanghai World Travel Fair) yatafanyika tarehe 23-26 April 2020 jijini Shanghai.Ubalozi unapenda kuwajulisha wadau wa utalii nchini watakaopenda kushiriki wawasiliane na Afisa Utalii Bi Bessie Quan kwa ajili ya kujiandikisha: bessiequan76@163.com.