Kampuni ya Utalii ya GTIT ya China kuanza kupeleka makundi ya watalii nchini Tanzania mwezi Aprili 2020. Kampuni hiyo inayomilikiwa na Serikali ya Jiji la Beijing imekubaliana na Ubalozi kufanya kampeni za pamoja za kutangaza vivutio vya Utalii vya Tanzania katika Jiji la Beijing

  • Mhe.Balozi katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Kampuni ya GTITMhe.Balozi katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Kampuni ya GTIT