Mkurugenzi wa Bodi ya Tumbaku akizungumza na kituo Yunan Television ya China ambapo ameelezea madhumuni ya ziara ya wadau wa Tumbaku kutoka Tanzania ni kujifunza aina ya Tumbaku inayotakiwa katika soko la China, teknolojia za kisasa za ukaushaji wa tumbaku na kukutana wanunuzi