Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma ameanza ziara ya kikazi ya siku (5) nchini China.Katika ziara hiyo Mhe Pembe atakutana na viongozi waandamizi wa taasisi za Elimu ya Juu nchini China kwa madhumuni ya kukuza ushirikiano katika sekta ya elimu

  • Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma atembelea ubalozi wa Tanzania Beijing na kukutana na Kaimu Balozi Brig Gen Remigius Ng'umbiWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma atembelea ubalozi wa Tanzania Beijing na kukutana na Kaimu Balozi Brig Gen Remigius Ng'umbi
  • Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma akutana na Makamu wa Rais wa China Petroleum University Prof Li Gensheng leo Beijing. Chuo hicho kimeahidi kutoa scholarships kwa wanafunzi kutoka TanzaniaWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa SMZ Mhe.Riziki Pembe Juma akutana na Makamu wa Rais wa China Petroleum University Prof Li Gensheng leo Beijing. Chuo hicho kimeahidi kutoa scholarships kwa wanafunzi kutoka Tanzania
  • Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya SMZ imesaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano na Communication University of Zhejiang katika Mafunzo ya Taaluma mbalimbali na Utafiti leo jijini HangzhouWizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya SMZ imesaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano na Communication University of Zhejiang katika Mafunzo ya Taaluma mbalimbali na Utafiti leo jijini Hangzhou